Psalms 113:7-9


7 aHuwainua maskini kutoka mavumbini,
na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala,
8 bhuwaketisha pamoja na wakuu,
pamoja na wakuu wa watu wake.
9 cHumjalia mwanamke tasa kutulia nyumbani mwake,
akiwa mama watoto mwenye furaha.

Msifuni Bwana.
Copyright information for SwhNEN